Search

175 results for Kennedy Lucas :

  1. Pamba yarejea Ligi Kuu Bara baada ya miaka 22

    TP Lindanda wana Kawekamo timu ya Pamba Jiji FC imerejea tena Ligi Kuu Bara na kuwakata kiu mashabiki wa soka wa Jiji la Mwanza ambao wamesubiri kwa zaidi ya miaka 20, huku kocha Mbwana Makatta...

  2. Staa wa Pamba Jiji hatihati Championship

    WAKATI pazia la Ligi ya Championship likifungwa rasmi leo, kiungo mshambuliaji na kinara wa mabao wa Pamba Jiji, Haruna Chanongo huenda akakosa mchezo wa mwisho wa ligi hiyo dhidi ya Mbuni FC...

  3. Chanongo hatihati kuivaa Mbuni

    Kiungo mshambuliaji wa Pamba Jiji FC, Haruna Chanongo huenda akakosa mchezo wa mwisho wa Ligi ya Championship dhidi ya Mbuni FC kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama za paja.

  4. Chanongo hatihati kuivaa Mbuni

    Arusha: Kiungo mshambuliaji wa Pamba Jiji FC, Haruna Chanongo huenda akakosa mchezo wa mwisho wa Ligi ya Championship dhidi ya Mbuni FC kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama za...

  5. Ken Gold yapanda Ligi Kuu Bara 

    Baada ya kusota kwa misimu mitatu mfululizo bila mafanikio, hatimaye Ken Gold imepanda Ligi Kuu baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya FGA Talents, leo. Mabao pekee na ya kihistoria...

  6. Tiketi ya Pamba kurejea Ligi Kuu iko Arusha

    Pamba Jiji FC inakabiliwa na mechi mbili za Ligi ya Championship ugenini mkoani Arusha ambazo ni lazima kushinda zote ili kurejea tena Ligi Kuu Bara baada ya kushuka daraja zaidi ya miaka 20...

  7. Derby ya mashemeji kitaumana usiku

    Wakati homa ya mchezo wa dabi ya Mashemeji kati ya Gor Mahia FC na AFC Leopards ikizidi kupamba moto, Shirikisho la Soka nchini Kenya (FKF) tayari limeweka wazi kuwa mchezo huo utapigwa usiku.

  8. Mtanzania Gabriel Geay achemka Boston Marathon

    Arusha. Wakati raia wa Ethiopia,Sisay Lemma akivunja rasmi utawala wa Mkenya, Evans Chebet katika mbio za Boston Marathon ambazo zimemalizika jioni hii nchini Marekani, mwanariadha wa kimataifa...

  9. Kiatu cha milioni 3.7 kumbeba Geay Boston

    MBIO za Boston Marathon zinatazamiwa kutimua vumbi leo, Aprili 15 nchini Marekani, huku mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay akiwa ni miongoni mwa nyota ambao wanapewa nafasi kubwa...

  10. Geay mzigoni Boston Marathon kesho

    Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay ameweka wazi amejiandaa kushinda mbio za Boston Marathon ambazo zitafanyika kesho Aprili 15.

Page 1 of 18

Next